RUVU SHOOTING 0-3 SIMBA SC: HIGHLIGHTS (VPL – 23/11/2019) latest cricket highlights 2022

RUVU SHOOTING 0-3 SIMBA SC: HIGHLIGHTS (VPL – 23/11/2019)

RUVU SHOOTING 0-3 SIMBA SC: HIGHLIGHTS (VPL – 23/11/2019) Detail

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC wamewacharaza bila huruma Ruvu Shooting kichapo cha mabao 3-0 mchezo ukipiwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Magoli ya Simba kwenye mchezo huo yamefungwa na Miraji Athuman aliyefunga mawili dakika ya 40 na 75 huku bao lingine likifungwa na beki Tairone Santos dakika ya 47.

Leave a Comment